Kijana nimpendaye

I love this

BERTTILA.KITHIA

Kwa mapenzi n’melowa, mapenzi yetu lazizi,
Jameni nimepagawa, ni mapenzi ya kishenzi,
Mchana nimelewa, usiku sina usingizi,
Kwa sababu yako wewe, kijana nimpendaye.
Ukimtizama mwengine, najawa na huzuni,
Wewe ndiwe hewa yangu, sijui nifanye nini,
Nakuenzi penzi langu, kaskazini hadi kusini,
Nitatenda lolote kwako wewe, kijana nimpendaye.

View original post

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s